Haber Giriş:
Shambulizi Tel Abyad Syria

Raia 2 wameuawa na raia 2 wamejeruhiwa
Raia 2 wameuawa na raia 2 wamejeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu lililotegwa kwenye pikipiki katika wilaya ya Tal Abyad, ambayo iko chini ya udhibiti wa wapinzani kaskazini mwa Syria.
Waliojeruhiwa vibaya walipelekwa Uturuki.
Vikosi vya usalama vya mitaa, ambavyo vilichunguza eneo hilo, vinasisitiza uwezekano wa kuwa shambulizi hilo lilitekelezwa na kundi la kigaidi la YPG / PKK.
Kit...
-
03.03.2021