Haber Giriş:
Shambulizi lapelekea vifo Yemen

Kundi la Houthis linaloungwa mkono na Iran limefanya shambulizi la silaha
Kundi la Houthis linaloungwa mkono na Iran limefanya shambulizi la silaha katika makazi katika mkoa wa Taiz kusini mwa Yemen, raia 6 wamepoteza maisha.
Katika taarifa iliyoandikwa kwenye wavuti ya jeshi la Yemen, ilielezwa kuwa Wahouthi walishambulia makazi ya raia katika mkoa wa Al-Himye katika wilaya ya Et-Taziye mkoa wa Taiz kwa mizinga na magari ya kivita, na kisha wakawashambulia kwa si...
-
16.01.2021
-
16.01.2021
-
16.01.2021