Haber Giriş:
Shambulizi la vikosi vya Assad Idlib

Watu 6 wamejeruhiwa katika mashambulizi dhidi ya makazi ya raia
Watu 6 wamejeruhiwa katika mashambulizi dhidi ya makazi ya raia yaliyotekelezwa na vikundi vya kigaidi vinavyoungwa mkono na Assad pamoja na msaidizi wake Iran, na kukiuka amri ya usitishaji vita na mapigano Idlib nchini Syria.
Vikosi vya utawala, vilivyo na jeshi la utawala wa Assad na vikundi vya kigaidi vya kigeni vilivyoungwa mkono na Iran vilivyoko wilayani Maarratünnuman kusini maghari...
-
18.04.2021
-
18.04.2021
-
18.04.2021
-
18.04.2021
-
17.04.2021