Haber Giriş:
Shambulizi la kujitoa muhanga Iraq

Watu wasiopungua 21 wamefariki na 44 wamejeruhiwa katika shambulizi la kujitoa muhanga huko Baghdad
Watu wasiopungua 21 wamefariki na 44 wamejeruhiwa katika shambulizi la kujitoa muhanga huko Baghdad, mji mkuu wa Iraq.
Polisi wametangaza kuwa mlipuko huo ulitokea sokoni katika uwanja wa Tayaran.
Imeripotiwa kuwa hali ya wengine wa majeruhi ilikuwa mbaya, kwa hivyo idadi ya vifo inaweza kuongezeka.
Imetangazwa kuwa mshambuliaji alivaa vazi lililokuwa limetegwa bomu.
-
28.02.2021
-
28.02.2021
-
27.02.2021
-
27.02.2021