Haber Giriş:
Shambulizi la bomu kwenye kanisa Indonesia
Kanisa moja lashambuliwa kwa bomu wakati wa misa ya Jumapili nchini Indonesia
Shambulizi la bomu lililolenga kanisa lilitekelezwa kwenye eneo la Makassar ambao ni mji mkuu wa jimbo la Sulawesi Kusini nchini Indonesia.
Afisa wa Uhusiano wa Polisi wa Sulawesi Kusini E Zulpan, alitangaza kuwa tukio hilo lilikuwa shambulizi la kujitoa mhanga kulingana na uchunguzi wa awali.
Meya wa mji wa Makassar Muhammed Ramadhan Pomanto, alisema kuwa hali ya wale waliokuwa ndani kwe...
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021