Haber Giriş:
Shambulizi katika shule ya bweni Nigeria

Kulingana na ripoti ya awali, wanafunzi 26 na walimu 4 wametekwa nyara katika shule ya bweni
Kulingana na ripoti ya awali, wanafunzi 26 na walimu 4 wametekwa nyara katika shule ya bweni katika mkoa wa Kagara katika jimbo la Niger nchini Nigeria, kawenye shambulizi lililofanywa na watu wenye silaha.
Abubakar Baba Umar, afisa kutoka Chuo cha Sayansi cha Jimbo la Kagara, ameripoti kwamba watu wenye silaha, ambao utambulisho wao bado haujatambuliwa, walishambulia shule ya bweni mapema a...
-
06.03.2021
-
06.03.2021
-
06.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021