Haber Giriş:
Rubani wa kwanza wa NATO

Je! Unajua kwamba rubani wa kwanza wa ndege wa kike wa NATO alikuwa Mturuki?
Je! Unajua kwamba rubani wa kwanza wa ndege wa kike wa NATO alikuwa Mturuki?
Leman Bozkurt Altınçekiç alizaliwa mnamo 1933 Uturuki na kuwa rubani wa ndege wa kwanza wa kike NATO.
Alikuwa na ndoto ya kurusha ndege toka alivyokuwa mtoto.Alichukua hatua ya kutimiza ndogo zake baada ya kuhitimu kutoka chuo cha upili na kuchukua mafunzo katika kituo cha Türkkuşu İnönü.
Shukrani kwa uamuz...
-
15.01.2021