Haber Giriş:
Rais wa zamani wa Madagascar afariki dunia
Didier Ratsiraka, Rais wa zamani wa Madagascar afariki hospitalini akiwa na umri wa miaka 84
Didier Ratsiraka, Rais wa zamani wa Madagascar ambayo ni nchi ya kisiwa katika kanda ya Afrika Mashariki, ameaga dunia.
Familia yake ilitangaza kuwa Ratsiraka mwenye umri wa miaka 84, alifariki hapo jana mida ya asubuhi katika hospitali ya kijeshi alikokuwa akitibiwa homa ya mafua.
Madaktari walitangaza kuwa vipimo vya afya vya rais huyo wa zamani vilionyesha kwamba hakuwa na virusi vya c...
-
18.04.2021
-
18.04.2021
-
18.04.2021