Haber Giriş:
Rais wa Kazakhstan achomwa chanjo ya Covid-19

Rais wa Kazakhstan Kasım Cömert Tokayev, apewa chanjo ya Sputnik-V dhidi ya corona (Covid-19)
Rais wa Kazakhstan Kasım Cömert Tokayev, amechomwa chanjo ya Sputnik-V iliyozalishwa dhidi ya corona (Covid-19).
Msemaji wa Ofisi ya Rais wa Kazakhstan Berik Uali alisema katika taarifa yake aliyoitoa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Tokayev alijisikia vizuri baada ya kupewa chanjo.
Akielezea kwamba Tokayev alipewa chanjo ya Urusi ya Sputnik-V iliyozalishwa katika Kituo cha Dawa cha Kar...
-
11.04.2021
-
11.04.2021
-
11.04.2021