Haber Giriş:
Raia 90,000 wahamia DRC kutoka CAR

Watu 90,000 wakimbia ghasia Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) na kuingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
Watu 90,000 waliokimbia ghasia katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) wamepewa hifadhi katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Maafisa wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) walitangaza kuwa idadi ya watu waliokimbia ghasia katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) na kuingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeongezeka hadi 90,000.
Wakibain...
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021