Haber Giriş:
Putin achomwa chanjo ya corona
Rais wa Urusi Vladimir Putin amepigwa chanjo dhidi ya virusi vya corona
Rais wa Urusi Vladimir Putin amepigwa chanjo dhidi ya virusi vya corona.
Msemaji wa Kremlin Dmitriy Peskov amewaambia waandishi wa habari jana kuwa Putin amepata chanjo ya Covid-19 na kwamba anajisikia vizuri.
Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa kuhusu aina ya chanjo aliyochomwa Putin.
Msemaji wa Kremlin Peskov alisema katika taarifa Jumatatu kwamba Putin atachomwa chanjo moja kati ya ta...
-
16.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021
-
16.04.2021