Haber Giriş:
Polisi waliomuua Prude waachiliwa bila hukumu Marekani

Polisi waliosababisha kifo cha raia mwenye asili ya Kiafrika Daniel Prude wameonekana kutokuwa na hatia nchini Marekani
Polisi waliosababisha kifo cha raia mwenye asili ya Kiafrika Daniel Prude, ambaye alizuiliwa uchi katika Jiji la New York, Marekani karibu mwaka mmoja uliopita na kuwekea mfuko wa plastiki kichwani mwake, wameonekana kutokuwa na hatia.
Katika taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa New York, iliarifiwa kwamba maafisa wa polisi ambao walisababisha kiwewe na kifo wiki moja baadaye kwa sabab...
-
11.04.2021
-
11.04.2021
-
11.04.2021