Haber Giriş:
Operesheni dhidi ya Boko Haram Nigeria

Wanachama 57 wa kundi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni
Wanachama 57 wa kundi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni dhidi ya kundi hilo kaskazini mashariki mwa Nigeria, nchi ya Afrika Magharibi.
Afisa wa jeshi, ambaye hakutaka jina lake litajwe, aliwaambia wanahabari wa eneo hilo kwamba jeshi lilifanya operesheni dhidi ya Boko Haram huko Damboa na Gwoza, katika jimbo la Borno.
Afisa huyo alibaini kuwa wanachama 57 wa Boko Haram waliuaw...
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
17.04.2021
-
16.04.2021