Haber Giriş:
Onyo la Marekani kwa Myanmar

Marekani imetangaza kuwa itachukua msimamo mkali dhidi ya wale wanaohimiza vurugu
Marekani imetangaza kuwa itachukua msimamo mkali dhidi ya wale wanaohimiza vurugu dhidi ya watu wa Myanmar.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken ameonya katika taarifa kwenye akaunti yake ya Twitter kwamba utawala wa Marekani utachukua msimamo mkali dhidi ya wale wanaohimiza vurugu dhidi ya watu wa Myanmar ambao wanataka kuanzisha tena serikali yao iliyochaguliwa kidemokrasia.
...-
25.02.2021
-
25.02.2021
-
24.02.2021