Haber Giriş:
Novak Djokovic aingia fainali Australia Open
Novak Djokovic aingia fainali kwenye Australia Open baada ya kumshinda Aslan Karatsev
Mchezaji nambari moja wa tenisi Novak Djokovic, ambaye alimshinda Aslan Karatsev seti 3-0 kwenye mashindano ya Australia Open, aliingia fainali.
Katika mchujo wa nusu fainali ya wanaume uliofanyika Melbourne, Djokovic kutoka Serbia, ambaye alishinda mashindano hayo ya Australia Open mara 8, alikutana na mchezaji nambari 114 wa Urusi Karatsev aliyeshangaza wengi kwa kufika hatua ya nusu fain...
-
25.02.2021
-
25.02.2021
-
25.02.2021