Haber Giriş:
Ndege yaanguka baharini Indonesia

Imeripotiwa kuwa ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Sriwijaya, imeanguka baharini nchini Indonesia.
Imeripotiwa kuwa ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Sriwijaya, imeanguka baharini nchini Indonesia.
Katika mkutano na waandishi wa habari, Waziri wa Uchukuzi alisema kwamba ndege ya abiria ya "SJ182", yenye wafanyikazi 12 na abiria 50, ilianguka mahali kati ya Laki na Kisiwa cha Lancang kwenye pwani ya kaskazini mwa mji mkuu wa Jakarta.
Sumadi amesema kwamba juhudi kubwa za kutafuta n...
-
15.01.2021