Haber Giriş:
Ndege ya abiria yatoweka Indonesia

Ndege ya abiria yatoweka kwenye rada na kupoteza mawasiliano nchini Indonesia
Ndege ya abiria iliyokuwa ikitekeleza safari kati ya Jakarta na Pontianak nchini Indonesia, imeripotiwa kupoteza mawasiliano na kutoweka kwenye rada.
Msemaji wa Wizara ya Uchukuzi ya Indonesia Adita Irawati, alitoa taarifa na kusema kwamba mawasiliano na ndege ya abiria "SJ182" inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Sriwijaya Air haikuweza kupatikana.
Akibaini kwamba ndege hiyo ilipoteza ma...
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021