Haber Giriş:
Ndege mbili za kivita zagongana Taiwan
Ndege mbili za kivita aina ya F-5E za kikosi cha anga cha Taiwan zadondoka baharini baada ya kugongana angani
Ndege mbili za kivita aina ya F-5E zinazomilikiwa na Kikosi cha Anga cha Taiwan, ziligongana angani karibu na wilaya ya Pingtung na kudondoka baharini.
Imeripotiwa kuwa ndege nne aina ya F-5E ziliondoka kutoka kambi ya Taitung Zhi-Hang Air Base kwa ajili ya mafunzo, ambapo mbili ziligongana angani, na marubani wa ndege hizo walifanikiwa kujirusha.
Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa (MND) ilitang...
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021