Haber Giriş:
Naomi Osaka ambandua Serena Williams Australia Open
Naomi Osaka aingia fainali Australia Open baada ya kumshinda Serena Williams
Naomi Osaka kutoka Japan alimshinda Serena Williams wa Marekani seti 2-0 na kujikatia tiketi ya fainali ya mashindano ya Australia Open.
Mchezaji nambari 3 Naomi Osaka na mchezaji nambari 10 Serena Williams walikutana katika mechi ya nusu fainali ya wanawake kwenye mashindano yanayoendelea mjini Melbourne nchini Australia.
Osaka mwenye umri wa miaka 23 alifanikiwa kutinga fainali kwa mara...
-
08.03.2021
-
08.03.2021
-
07.03.2021
-
07.03.2021