Haber Giriş:
Nadal na Medvedev watinga robo fainali Australia Open
Rafael Nadal na Daniil Medvedev wafanikiwa kuingia hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Australia Open
Mhispania Rafael Nadal na Mrusi Daniil Medvedev walifanikiwa kuingia robo fainali kwenye michuano ya Australia Open ambayo pia ni mashindano ya kwanza makubwa ya msimu wa tenisi.
Siku ya 8 ya mashindano hayo yanayoendelea mjini Melbourne ilianza na mechi zilizochezwa nyakati za asubuhi.
Kwa upande wa wanaume, mchezaji nambari 2 kutoka Uhispania Rafael Nadal alimshinda mchezaji nambari 16 ...
-
03.03.2021