Haber Giriş:
Mzozo wa kesi ya mwanzilishi wa WikiLeaks

Mahakama ya Uingereza yakataa ombi la kumwachilia huru Assange kwa dhamana
Mahakama nchini Uingereza inaripotiwa kukataa ombi la mwanzilishi wa WikiLeaks, Julian Assange kuachiliwa kwa dhamana.
Katika kesi hiyo iliyosikizwa katika mji mkuu wa London, jaji Vanessa Baraitser aliashiria kwamba upo uwezekano wa Assange kutokuja kwenye usikilizaji wa rufaa ikiwa ataachiliwa huru.
Siku mbili zilizopita, mahakama hiyo ilikataa ombi la Assange kurejeshwa Marekani.
Wi...
-
22.01.2021
-
22.01.2021
-
22.01.2021
-
22.01.2021
-
22.01.2021