Haber Giriş:
Mwanamke aongoza idara ya hazina Marekani

Yellen amekua mwanamke wa kwanza katika historia ya Marekani kushikilia wadhifa wa Idara ya Hazina.
Seneti ya Marekani imetoa idhini kwa Janet Yellen, Rais wa zamani wa Shirikisho la Benki Kuu Marekani (Fed), ambaye aliteuliwa na Rais Joe Biden kuwa Katibu wa Hazina.
Katika upigaji kura uliofanyika katika Mkutano Mkuu wa Seneti, maseneta 84 walipiga kura ya "ndio" kwa Yellen kuwa Waziri wa Hazina, wakati maseneta 15 walipiga "hapana".
Kwa hivyo, Yellen amekua mwanamke wa kwanza katika h...
-
03.03.2021
-
03.03.2021