Haber Giriş:
Msaada kwa Arakan kutoka Uturuki

Ndege ya vifaa vya msaada yaondoka Ankara kuelekea Bangladesh kwa ajili ya kusaidia wakimbizi wa Arakan
Ndege ya shehena ya kijeshi iliyokuwa imebeba vifaa vya misaada kwa ajili ya Hospitali ya Sahra ya Uturuki, ambayo iliharibiwa baada ya moto kutokea katika kambi ya wakimbizi wa Arakan nchini Bangladesh, ilianza msafara kutoka mji wa Ankara.
Kufuatia agizo la Rais Recep Tayyip Erdoğan, Wizara ya Mambo ya Ndani Shirika la Maafa na Misaada ya Dharura (AFAD), Wizara ya Afya pamoja na Wizara ya ...
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
21.04.2021