Haber Giriş:
Mlipuko watokea mjini Madrid

Watu 2 wapoteza maisha kwenye mlipuko uliotokea mjini Madrid nchini Uhispania
Kulingana na taarifa za awali, watu 2 wameripotiwa kufariki kwenye mlipuko uliotokea katika jengo moja lililoko katikati mwa mji mkuu wa Madrid nchini Uhispania.
Mlipuko huo ulitokea mwendo wa saa 15:00 (17:00 kwa saa za Uturuki) kwenye jengo la nyumba katika kitongoji cha Puerto de Toledo mjini Madrid.
Kulingana na picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, jengo hilo lilikumbwa n...
-
28.02.2021
-
28.02.2021
-
27.02.2021
-
27.02.2021