Haber Giriş:
Mlipuko Rasulayn nchini Syria

Mlipuko umetokea katika wilaya ya Rasualayn nchini Syria
Mlipuko umetokea katika wilaya ya Rasualayn nchini Syria, eneo lililokombolewa kutoka kwa uvamizi wa magaidi wa YPG/PKK na kupeleeka vifo vya watu wanne, wawili kati yao wakiwa ni watoto, huku watu wengine tisa wakiwa wamejeruhiwa.
Haijajulikana bado chanzo cha mlipuko huo.
Kulingana na maafisa wa hospitali huko Rasulayn, raia 4, 2 kati yao watoto, walifariki katika mlipuko huo, raia 9 wa...
-
22.04.2021
-
22.04.2021