Haber Giriş:
Mlipuko kwenye kituo cha kupima Covid-19 Uholanzi

Hofu yatanda baada ya mlipuko kutokea karibu na kituo cha kupima Covid-19 nchini Uholanzi
Mlipuko umeripotiwa kutokea karibu na kituo cha kupima virusi vya corona (Covid-19) kilichoko eneo la Bovenkardspel nchini Uholanzi.
Katika taarifa iliyotolewa na polisi wa Uholanzi kwenye Twitter, ilielezwa kuwa mlipuko huo, ambao ulitokea mwendo wa saa 06.55, ulisababishwa na bomu la aina ya bomba, na hakukuwa na majeruhi au vifo katika tukio hilo.
Taarifa hiyo ilibainisha kuwa vioo vya...
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
18.04.2021
-
18.04.2021