Haber Giriş:
Mkutano wa Çavuşoğlu na Lute mjini Ankara

Mevlüt Çavuşoğlu akutana na Jane Holl Lute kujadili suala la Cyprus katika mji mkuu wa Ankara
Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu, alikutana na Jane Holl Lute ambaye ni mshauri maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres aliyeteuliwa kwa ajili ya Cyprus, katika mji mkuu wa Ankara.
Akitathmini mkutano huo kwenye Twitter, Çavuşoğlu alisema kuwa walijadiliana na Lute juu ya Cyprus na maandalizi ya mkutano usio rasmi wa 5 + 1 utakaofanyika Geneva, Uswizi mwishon...
-
15.04.2021
-
15.04.2021
-
15.04.2021