Haber Giriş:
Mkutano wa Biden na viongozi wa nchi za EU

Rais wa Marekani Joe Biden ashiriki mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Ulaya mtandaoni
Rais wa Marekani (USA) Joe Biden, alitoa ujumbe kwa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ulaya (EU) ili kufufua uhusiano wao na Marekani.
Katika taarifa iliyoandikwa kutoka Ikulu ya White House, iliarifiwa kwamba Biden alihudhuria mkutano wa mtandaoni ndani ya wigo wa Kikao cha Jumuiya ya Ulaya (EU).
Taarifa hiyo ilieleza kwamba mkutano huo ulioongozwa na Rais wa Baraza la Ulaya Charl...
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021