Haber Giriş:
Mizozo ya kikabila Sudan: 50 wafariki
Watu 50 wafariki, 132 wajeruhiwa kwenye mizozo ya kikabila iliyozuka nchini Sudan
Watu 50 wameripotiwa kupoteza maisha katika mizozo ya kikabila iliyozuka nchini Sudan.
Umoja wa Mataifa ulitangaza kuwa watu 50 walifariki na wengine 132 walijeruhiwa katika mapigano yaliyoanza Aprili 3 huko Jinayna, jimbo la Darfur Magharibi mwa Sudan.
Barabara za upande wa kusini mwa Jinayna zilifungwa, na shughuli za misaada ya kibinadamu zikasimamishwa kwa muda.
Kamati ya Madaktari...
-
11.04.2021
-
11.04.2021