Haber Giriş:
Mgomo wa madaktari Nigeria

Madaktari wamefanya mgomo kutokana na kutolipwa mishahara yao nchini Nigeria
Madaktari wamefanya mgomo kutokana na kutolipwa mishahara yao nchini Nigeria.
Daktari Uyilawa Okhuaihesuyi, Rais wa Chama cha Madaktari wa Nigeria (NARD), amesema kuwa wenzake walishindwa kufikia makubaliano wakati wa mkutano wa masaa 9 na Waziri wa Kazi na Ajira Chris Ngige.
Okhuaihesuyi amesema wameanza mgomo bila kikomo kote nchini kuanzia leo.
Okhuaihesuyi, ambaye ameitaka serikali...
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
22.04.2021
-
22.04.2021