Haber Giriş:
Mfumo wa viti vya ndege ya jeshi wafanya ajali Urusi

Wanajeshi watatu wa Urusi wafariki katika ajali iliyotokea kutokana na ufyatukaji wa viti vya ndege ya jeshi nchini Urusi
Wanajeshi watatu wa Urusi wameripotiwa kupoteza maisha katika ajali iliyotokea kutokana na ufyatukaji wa viti vya ndege ya jeshi nchini Urusi.
Kulingana na shirika la habari la Urusi la TASS, mfumo wa ufyatuaji wa viti ulianzishwa ghafla wakati ndege ya kijeshi aina ya Ту-22M3 ilipokuwa ikifanya kazi katika uwanja wa ndege wa jeshi karibu na Kaluga.
Wanajeshi watatu wa Urusi waliuawa nd...
-
16.04.2021
-
16.04.2021