Haber Giriş:
Matokeo ya mechi za UEFA Europa League

Mzunguko wa kwanza wa mechi za hatua ya 32 bora kwenye ligi ya UEFA Europa wakamilika
Mechi za kwanza za hatua ya 32 bora kwenye ligi ya UEFA Europa League zilichezwa hapo jana.
Matokeo ya mechi zote ni kama ifuatavyo:
Real Sociedad (Uhispania) - Manchester United (Uingereza): 0-4
Wolfsberger (Ujerumani) - Tottenham (Uingereza): 1-4
Olympiakos (Ugiriki) - PSV (Uholanzi): 4-2
Slavia Prag (Czech) - Leicester City (Uingereza): 0-0
Young Boys (Uswizi) - Bayer Lever...
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021