Haber Giriş:
Masharti ya kusali katika Masjid al-Haram Saudia

Saudi Arabia imetangaza masharti ya ibada wakati wa Covid-19
Saudi Arabia imetangaza kuwa ni wale tu waliopewa chanjo au kupona Covid-19 ndiyo wanaweza kufanya ibada, umrah na kusali katika Masjid al-Haram huko Makka wakati wa Ramadhan.
Kulingana na shirika rasmi la habari la Saudi Arabia SPA, afisa kutoka Wizara ya Hija na Umrah amesema kwamba hatua za kinga zinachukuliwa kupambana na janga hilo.
Afisa huyo alisema kuwa, wakati wa Ramadhan, ni wal...
-
14.04.2021
-
14.04.2021
-
14.04.2021