Haber Giriş:
Marufuku ya kutoka nje nchini CAR

Ilani ya marufuku ya kutoka nje yatangazwa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR)
Nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) imetangaza ilani ya marufuku ya kutoka nje kutokana na sababu za kiusalama.
Waziri wa Mawasiliano na Msemaji wa Serikali nchini humo Albert Yaloke Mokpem, alitoa maelezo kwenye kituo cha redio ya taifa na kufahamisha kwamba Rais Faustin Archange Touadera ametangaza ilani ya marufuku ya kutoka nje kati ya saa 20.00 hadi 05.00.
Yaloke Mokpem aliongeze...
-
23.01.2021
-
23.01.2021
-
23.01.2021