Haber Giriş:
Marekani kuisaidia Sudan kulipa deni la Benki ya Dunia

Sudan na Marekani zatia saini makubaliano ya msaada kwa ajili ya kulipa deni la Benki ya Dunia
Serikali ya Sudan imesaini mkataba wa makubaliano na Wizara ya Hazina ya Marekani ili kuwatolea zaidi ya dola bilioni 1 kila mwaka kulipa deni lake kwa Benki ya Dunia.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Wizara ya Fedha ya Sudan, Waziri wa Hazina wa Marekani Steven Mnuchin, ambaye alikwenda mji mkuu Khartoum kama sehemu ya ziara rasmi ya siku moja baada ya uamuzi wa Marekani wa kuiondoa Suda...
-
16.01.2021
-
16.01.2021
-
16.01.2021
-
15.01.2021