Haber Giriş:
Maporomoko ya ardhi Indonesia
Watu 13 wamefariki katika maporomoko ya ardhi
Watu 13 wamefariki katika maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa kwenye kisiwa cha Java cha Indonesia.
Maporomoko ya ardhi yalitokea katika kijiji cha Cihanjuang magharibi mwa kisiwa hicho.
Jitihada za kutafuta na kuokoa zinaendelea katika mkoa huo.
Mvua inatarajiwa kuendelea kwa siku chache zaidi.
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021
-
17.01.2021