Haber Giriş:
Mapigano yazuka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kundi la waasi lashambulia ghala ya silaha ya vikosi vya usalama nchini DRC
Wanajeshi 4 wameripotiwa kupoteza maisha kwenye mapigano yaliyozuka kati ya vikosi vya usalama na kundi la waasi la "Mai Mai Kata Katanga" katika mji wa Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Wanachama wa "Mai Mai Kata Katanga" walishambulia ghala ya silaha inayomilikiwa na walinzi wa Jamhuri, eneo la Kimbembe lililoko karibu kilomita 10 kutoka katikati mwa mji wa Lubumbas...
-
04.03.2021