Haber Giriş:
Maneno ya kwanza ya Rais Joe Biden baada ya kula kiapo

Joe Biden aapishwa kama Rais wa 46 wa Marekani
Joe Biden ameapishwa kama Rais wa 46 wa Marekani baada ya kuwa ameshinda uchaguzi wa Novemba 3 mwaka jana.
Kamala Harris naye ameapishwa kama Makamu wa Rais.
Harris ameweka historia kama mwanamke wa kwanza kuwa Makamu wa Rais nchini Marekani.Na sio tu mwanamke wa kwanza bali ni mwanamke wa kwanza mweusi mwenye asili ya Asia.
Maneno ya kwanza ya Rais mpya Biden baada ya kula kiapo yalik...
-
28.02.2021
-
27.02.2021
-
27.02.2021