Haber Giriş:
Makubaliano ya uwekezaji kati ya EU na China

Jumuiya ya Ulaya (EU) an China zafanya makubaliano kwa ajili ya uwekezaji
Jumuiya ya Ulaya (EU) na China zimeafikiana makubaliano ya uwekezaji kufuatia mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea tangu 2014.
Rais wa Tume ya EU Ursula von der Leyen, Rais wa Baraza la EU Charles Michel, Rais wa Mpito wa EU Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Rais wa China Xi Jinping, walifanya "Mkutano wa Viongozi wa EU na China" kwa njia ya video.
Kat...
-
24.01.2021
-
24.01.2021
-
24.01.2021