Haber Giriş:
Makabiliano ya jeshi dhidi ya waandamanaji Myanmar

Jeshi la mapinduzi latumia risasi za plastiki kukabiliana na waandamanaji nchini Myanmar
Watu 4 wameripotiwa kujeruhiwa wakati wa makabiliano ya jeshi dhidi ya waandamanaji waliokuwa wakiendeleza maandamano ya kupinga mapinduzi ya kijeshi na kukamatwa kwa viongozi halali wa serikali nchini Myanmar.
Katika video zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii na waandamanaji, jeshi la Myanmar lilionekana likitumia nguvu kukabiliana na waandamanaji na kuwalenga kwa risasi za plastiki k...
-
03.03.2021