Haber Giriş:
Magoli ya İlkay yaibeba Manchester City kileleni
Manchester City yapata ushiindi mnene wa 5-0 dhidi ya West Bromwich kwenye Premier League
Wiki ya 20 ya Ligi Kuu ya English Premier League iliwakutanisha Manchester City na West Bromwich.
Katika mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa The Hawthorns, Manchester City ambayo ilikuwa ugenini ilipata ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji West Bromwich.
Katika kipindi cha kwanza, Manchester City ilitangulia kuongoza 4-0 baada ya kufungiwa magoli na İlkay Gündoğan mwenye asili ya Kituruki ...
-
04.03.2021
-
04.03.2021
-
04.03.2021
-
03.03.2021