Haber Giriş:
Magaidi wawili wa PKK waangamizwa Syria

Mashambulizi dhidi ya PKK
Magaidi wawili, wanachama wa kundi la kigaidi la PKK / YPG, wameangamizwa katika mkoa wa Peace Spring nchini Syria.
Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa ya Uturuki (MSB), imeripotiwa kuwa magaidi walijaribu kujipenyeza katika eneo la Peace Spring.
Taarifa hiyo ilisema,
"Tunaendelea kuzuia uingiaji wa magaidi katika eneo la Amani. Magaidi wengine wawili wa PKK / YPG...
-
15.01.2021