Haber Giriş:
Magaidi nane wa PKK waangamizwa Iraq

Magaidi nane wa kundi la kigaidi la PKK wameangamizwa katika operesheni ya anga
Magaidi nane wa kundi la kigaidi la PKK wameangamizwa katika operesheni ya anga iliyotekelezwa na vikosi vya Uturuki Kaskazini mwa Iraq.
Kulingana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki, operesheni ya anga ilitekelezwa dhidi ya kundi hilo katika mkoa wa Gara Kaskazini mwa Iraq.
Uturuki imeahidi kupambana na magaidi ndani na nje ya mipaka yake.
-
16.01.2021
-
16.01.2021
-
16.01.2021
-
16.01.2021