Haber Giriş:
Maelfu waandamana Ufaransa
Waandamanaji walijitokeza tena mitaani jana dhidi ya muswada uliosababisha hasira nchini Ufaransa.
Waandamanaji wamejitokeza tena mitaani jana dhidi ya muswada uliosababisha hasira nchini Ufaransa.
Muswada huo uliopitishwa katika Bunge na kuwasilishwa kwa Seneti unataja kifungo cha mwaka mmoja na faini hadi euro 45,000 kwa wale watakaochapisha picha za vikosi vya usalama nchini Ufaransa.
Maelfu ya watu kote nchini walidai kuondolewa kabisa kwa muswada huo, ulioelezewa kama tishio kwa u...
-
26.02.2021
-
26.02.2021