Haber Giriş:
Maandamano dhidi ya serikali Lebanon

Wananchi wa Lebanon waandamana katika mji mkuu wa Beirut kuitaka serikali ya utawala ijiuzulu
Maandamano yalifanyika katika mji mkuu wa Beirut nchini Lebanon, kwa ajili ya kuitaka serikali ya utawala ijiuzulu na kuanzishwa kwa serikali huru ya mpito.
Waandamanaji walikusanyika katika mji mkuu wa Beirut na kuandamana wakielekea Ikulu ya Rais katika mkoa wa Baabda kusini mwa mji mkuu, huku wakitoa kaulimbiu zinazodai "wahusika wawajibishwe."
Wakitoa wito wa kujiuzulu kwa utawala wa ...
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021
-
19.04.2021