Haber Giriş:
Maambukizi ya corona yapungua kwa asilimia 17
WHO yatangaza kupungua kwa kesi za maambukizi ya Covid-19 kwa asilimia 17 kote ulimwenguni
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilitangaza kuwa kumekuwa na upunguaji wa kesi za maambukizi ya corona (Covid-19) kwa asilimia 17 katika wiki iliyopita ndani ya maeneo 6 tofauti kote ulimwenguni.
Kulingana na takwimu zilizochapishwa na WHO, idadi ya kesi za maambukizi imekuwa ikipungua kwa wiki 4.
Kesi mpya milioni 3.15 za maambukizi zilirekodiwa wiki ya mwisho, ikionyesha kupungua kwa ...
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021
-
05.03.2021