Haber Giriş:
Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mapinduzi Libya

Raia wa Libya washerehekea Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mapinduzi ya Februari 17
Raia wa Libya, wanasherehekea miaka 10 ya Mapinduzi ya Februari 17 mwaka 2011, ambayo yalimaliza utawala wa miaka 42 wa Muammar Gaddafi.
Wananchi wa Libya hushiriki katika sherehe kwenye mitaa na viwanja mbalimbali kote nchini, katika miji ya Misrata, Zawiya, Zintan, Sebha na mji mkuu wa Tripoli.
Katika kipindi cha maadhimisho ya miaka 10 ya mapinduzi, siku za Februari 17 na 18 zilitangaz...
-
01.03.2021
-
01.03.2021
-
01.03.2021
-
28.02.2021