Haber Giriş:
Leo Katika Magazeti ya Uturuki

Mukhtasari wa Magazeti ya Uturuki 11.01.2021
Sabah: "Jumuiya ya Ulaya (EU) iko tayari kuendeleza mazungumzo"
Ishara zinaendelea kuonekana kufuatia mkutano wa video uliofanyika kati ya Rais Recep Tayyip Erdoğan na Rais wa Tume ya EU Ursula von der Leyen. Mwakilishi Mkuu wa EU wa Sera ya Mambo ya Nje na Usalama, Josep Borrell, alisema kuwa wako tayari kuendeleza mchakato wa mazungumzo na Uturuki. Waziri wa Mambo ya Nje Mevlüt Çavuşoğlu a...
-
20.01.2021
-
20.01.2021
-
19.01.2021