Haber Giriş:
Leo Katika Magazeti ya Kimataifa

Mukhtasari wa Magazeti ya Kimataifa 08.04.2021
Bild.de: Kijana wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 18 ameorodheshwa kati ya watu matajiri zaidi ulimwenguni kwa umiliki wa dola bilioni 3.5.
Spiegel.de: Wanasayansi wameanzisha mfumo wa kuhifadhi data ili kuzuia magonjwa ya mlipuko.
El País, Uhispania: Wizara ya Afya ya Uhispania na majimbo zilikubaliana kufuta utumiaji wa chanjo ya AstraZeneca kwa wale walio chini ya umri wa miaka 60...
-
13.04.2021
-
13.04.2021
-
13.04.2021