Haber Giriş:
Leo Katika Magazeti ya Kimataifa

Mukhtasari wa Magazeti ya Kimataifa 11.01.2021
Le Parisien: Kesi mpya za virusi vya Covid-19 vinavyobadilika na kuonekana nchini Uingereza zimegundulika kwa watu wanane katika mji wa Marseille nchini Ufaransa: Meya wa mji alisema, "Kuanzia sasa, kila dakika ina umuhimu."
Le Monde: Rais wa Algeria Abdulmecid Tebbun asafiri Ujerumani kwa ajili ya matibabu.
France 24: Hali ya chanjo ya Covid-19 ikoje katika Bara la Afrika ambalo lina zai...
-
16.01.2021
-
16.01.2021
-
16.01.2021